Snura wa Majanga na DJ wa Maisha Club sasa ni Shida


Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbea wakiwa katika Poz la maha..!



Kwa mujibu wa

mtu wa karibu aliozinasa picha hizo zilizopigwa huko mkoni Mbeya alisisitiza kwamba jina lake lisitajwe humu mtandaoni, Pia alizidi kufunguka kwamba kabla hajakwanyua picha hizo alibahatika kusikia maneno ya Snura kama ifuatavyo: Mimi kwa huyu jamaa sina ujanja na kamwe sitosikia la mtu ng'o! Mmmh.. Penda sana Hunter...!

Jamaa aliishia hapo akasema alikuwa anapita tu!
 
Mbona hata ku do, walisha do,ni mpenzi wake wa siku nyingi tu,infact si mpenzi tu pia ni baba wa mtoto wake so "NOTHING NeW uNdEr ThE Sun"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…