skin bleaching hOe
Alikua na rangi nzuri enzi za jumba la dhahabu..yani wakati yuko na ushoga na wema ndo wamefundishana kujichubua...km kitimoto....
hapa ndo alikuwa kakanza anza
una maanisha nini!
au na wewe unajikoboa
wimbo mzuri video majanga nampa round moja akihit tena atakuwa mwanamke kweli
Skin bleaching does not make anyone a 'whor.e' (sio hoe....jembe), kuna wanaume wangapi wamejichubua?! FM Academia almost wote wamejichubua..are they ------?!
Majanga...
We boya hadi huku upo?