so beautiful,this is guangzhou, china.

Thanks GB for the link. Just for your information: this video is purely computer graphics (CG) work, there ws no camera used, only computers and good 3D artists. By the way, I may soon be able to do the same thing, let's pray.
 
Hiyo ni plan ya mji kama ilivyo ile ya kigamboni.
 
Thanks GB for the link. Just for your information: this video is purely computer graphics (CG) work, there ws no camera used, only computers and good 3D artists. By the way, I may soon be able to do the same thing, let's pray.
Utakuwa unatumia Cinema 4D ama 3D Max?
 
Utakuwa unatumia Cinema 4D ama 3D Max?

Yoyote kati ya hizo inaweza kufanya hivyo, japo shughuli yake si nyepesi. Binafsi najaribu kutapatapa na 3DS Max.
 
Yoyote kati ya hizo inaweza kufanya hivyo, japo shughuli yake si nyepesi. Binafsi najaribu kutapatapa na 3DS Max.
Nataka kujifunza Cinema 4D (Prime).
 
Nataka kujifunza Cinema 4D (Prime).

All the best. Inaonekana Cinema 4D ni nyepesi kidogo kuliko Maya na 3DS Max. Nilianza Maya ikanizingua, nikajaribu Blender nikatoka kapa. Sasa najaribu kufurukuta na 3DS Max later ntajaribu Cinema 4D au Modo (Luxology Modo) au LightWave. Ila nikiridhika na kiwango changu cha 3DS Max huenda nikabaki nayo hiyo.
 
3D asante kwa mchango,but hiyo clip ni a real thing na siyo animation unavyofikiria.hiyo ni the sports village ambayo wamejenga kwa ajili ya Asian games 2010 inaoyendelea kwa sasa hapo GZ.so this thing is a real video and not animation as u think.watch it carefully.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…