Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Mimi mpenzi sana wa movie za Kimagharibi, mara nyingi huwa nasikia kwenye scene ambapo mgeni kamtembelea mwenyeji, mwenyeji humuuliza mgeni hata kama ni Baba yake“ so how long are you staying?“ hilo swali nimelipenda sana, ikiwezekana uje Tanzania na tuutafsiri kwenye Kiswahili chetu, mgeni akija kukutembelea hasa wale wa bila taarifa siku akifika tu tumuulize“ so how long are you staying?“ , ni lazima atasepa tu, hatolewea kwako na kukupa mzigo, …