Mkuu sio kila kitu tunapaswa kukopi . Huo Ni utamaduni wao tukubali na kuheshimu utamaduni wao lakini pia tujivunie utamaduni wetu. Ukiendelea na fikra za namna hiyo ipo siku utanunua vipodozi ubadilishe ngozi yako ili ufanane na hao ambao unahusudu utamaduni wao..Mimi mpenzi sana wa movie za Kimagharibi, mara nyingi huwa nasikia kwenye scene ambapo mgeni kamtembelea mwenyeji, mwenyeji humuuliza mgeni hata kama ni Baba yake“ so how long are you staying?“ hilo swali nimelipenda sana, ikiwezekana uje Tanzania na tuutafsiri kwenye Kiswahili chetu, mgeni akija kukutembelea hasa wale wa bila taarifa siku akifika tu tumuulize“ so how long are you staying?“ , ni lazima atasepa tu, hatolewea kwako na kukupa mzigo, …
Acha ujinga weweUtatangazwa kuwa ni mchoyo na una roho mbaya sana. Waafrika wanapenda wakija wake wajiachie uwahudumie mpaka watakapoamua kuondoka wenyewe hata kama ni mwaka.
Wasukuma nasikia wanahamiaga kabisa ukoo mzima. Ukioa huko hadi baba mkwe wako anahamia kwako.
Hiiiiiiii baghoshaaaa 😟😟Acha ujinga wewe
Hiki unachowasifia hujui tu nikwanamna gani kinawagharimu.Hii hatua furahi kuiona kwa wenzio hivyo hivyo lakini sio hatua ya kutamani uwe sehemu ya jamii inayoishi katika mazingira hayo.Yani wenzetu wametuacha mbali Sana kwenye kuwa wawazi. Kuna ule msemo wao mwingine mgeni akija wanamwambia You can't sleep here there is no space, hapo mgeni ataambiwa akalale motel hata Kama Mama mzazi.
Wakati huku bongo Watoto watalazwa sebleni mgeni apate space.
Hii kwa utamaduni wetu kwa sasa ni ngumu kutekelezeka. Utaishia kuitwa mchoyo!Mimi mpenzi sana wa movie za Kimagharibi, mara nyingi huwa nasikia kwenye scene ambapo mgeni kamtembelea mwenyeji, mwenyeji humuuliza mgeni hata kama ni Baba yake“ so how long are you staying?“ hilo swali nimelipenda sana, ikiwezekana uje Tanzania na tuutafsiri kwenye Kiswahili chetu, mgeni akija kukutembelea hasa wale wa bila taarifa siku akifika tu tumuulize“ so how long are you staying?“ , ni lazima atasepa tu, hatolewea kwako na kukupa mzigo, …
Utaacha watu waogope kuoa Wasukuma sasa. Ukoo mzima unahamia kwa mkwe! Hii kiboko!Utatangazwa kuwa ni mchoyo na una roho mbaya sana. Waafrika wanapenda wakija wake wajiachie uwahudumie mpaka watakapoamua kuondoka wenyewe hata kama ni mwaka.
Wasukuma nasikia wanahamiaga kabisa ukoo mzima. Ukioa huko hadi baba mkwe wako anahamia kwako.
Umagharibi magharibi utakuponza shekhMimi mpenzi sana wa movie za Kimagharibi, mara nyingi huwa nasikia kwenye scene ambapo mgeni kamtembelea mwenyeji, mwenyeji humuuliza mgeni hata kama ni Baba yake“ so how long are you staying?“ hilo swali nimelipenda sana, ikiwezekana uje Tanzania na tuutafsiri kwenye Kiswahili chetu, mgeni akija kukutembelea hasa wale wa bila taarifa siku akifika tu tumuulize“ so how long are you staying?“ , ni lazima atasepa tu, hatolewea kwako na kukupa mzigo, …
[emoji28][emoji28][emoji28]Hiiiiiiii baghoshaaaa [emoji45][emoji45]
Mie huwa mgeni ndiye atalala sebuleni.Yani wenzetu wametuacha mbali Sana kwenye kuwa wawazi. Kuna ule msemo wao mwingine mgeni akija wanamwambia You can't sleep here there is no space, hapo mgeni ataambiwa akalale motel hata Kama Mama mzazi.
Wakati huku bongo Watoto watalazwa sebleni mgeni apate space.