Angalia kulia kuna sehemu imeandikwa reply with quote binya hapo kama unataka kumshukuru mtu au kukoment post yake sawa mama!thanx elly
Haaaaa ana mguu wa mtoto!!!.... embu nipe namba yake nimwambie aache kukutoa damu mtoto wa watu Lolmmh kuhusu uume mkubwa i can say yes some how kajaaliwa
Si wewe unatangaza bidhaa adimu hadharani? akiangalia wa kwake ana kijipu uchungu lolhunitakii mema nikupe namba yake tena mmh patakua hapatoshi
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
thanx michele, kuhusu uume mkubwa some how i can say yes yaanin Mashaallah. na akianza huwa atumii nguvu bt inapokua katikati mechi imechanganya nadhan mzuka unampandaga anajikuta anaongeza spidi.....ila kuna baadhi ya siku tukiwa tuna doo damu hazitoki naninavosema damu simaanishai damu km vile kidonda ama mtu unapokuwa hedhi namaanisha anapokuwa anapiiz zile shahawa zinakuwa sio nyeupe as usual zinakuwa na karangi fulaNI hivi kekundu kwa mbaaalii
jamani sdhan km nilianza nikiwa na umri mdogo, nilikua nshaanza chuo dat time naanza hayo mambo.......na sasa nina zaidi ya 25, kuwa ni yeye anaetoa damu mmh ndo kwanza unanifumbua macho inawezekana eeh ngoja nilifanyie kazi
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
:spy😛ole sana dada na msichana mwenzangu...bt hapo umekosea mpendwa,kwanza kwann umekubali kufanya mapenzi kabla ya ndoa?do u knw dat VIRGINITY IS A PRICELESS GIFT FROM GOD?according to mtu fulani,inasemekana kuwa ukishafanya mapenzi na a guy anakudharau,yawezekana ikawa kweli au uongo lkn bado si tamaduni zetu kufanya mapenzi kabla ya ndoa,haipendezi!njikirudi kwenye swali lako,kwa kweli nakushauri uende hosp kwa ushauri zaidi...mi sijui coz bado cjajaribu wala kufikia huko....
ingawa ni vizuri kijitunza lakini sio vizuri kumjuge mwenzio.angekutajia umri wake kidogo ungeweza kusema kama ni mdogo mno kwenye masuala ya ngono.mwenyewe ameuliza kwa kuwa ana shida.pole sana cathreen,natumai umepata msaada wa kutosha kwa wachangiaji wa jf
thanx kwa ushauri bt hukupaswa kuniinsults nilikua nahitaji msaada na sio kubezwa anay way thanx
Usitake kuudanganya Umma, Kwa karne ya sasa ukisema kuna watu wanaanza tendo la ndoa si dhani kama kwa mtu anayejua malezi na makuzi ya vijana wa sasa atakubaliana na hilo.
Unachotaka kuieleza jamii ni kitu ambacho am sure ni uongo wanaoana sasa ni lazima walianza relationship na kila mmoja kumhakiki mwezie kama anamfaa hasa katika nyanja hiyo.
Dhambi ya kusema uongo ni dhambi kama hiyo uliyoianisha kwa Cathreen!!
Aaah ina maana wewe bado ni kigoli?kama ni hivyo hongera sana watu kama nyie ni adimu sana.
helow, mimi ninaboyfrend wangu ambaye ndie mume wangu mtarajiwa lakini tatizo ni kwamba karibia kila siku tukifanya tendo la ndoa lazima nitokwe na damu ukeni yaani akiwa kamaliza round ya kwanza akichomoa lazima damu zitoke lakini kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano na mwanamume mwingine hali hiyo haikuwahi kunitokea sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini naomba ushauri wenu maana nampemda sana mpenzi wangu na sipo tayari kumpoteza