Jamani wanajamvi habari zenyu,madactari naomba ushauri au nitumie dawa gani kwa hili linalonisibu.
Nimetokewa na rushes ila zile kama za allergenic ukikuna inavimba na vinawasha sana ,nisaidieni jamani either dawa ila sikumbuki nini nimekula kikanidhuru,na haijawahi nitokea kabisa .
Nitashukuru kwa ushauri mzuri na waharaka.
Thanks