So uganda is now the best Entrepreneurial country in the world

So uganda is now the best Entrepreneurial country in the world

Geoffrey Eng Atkinson

Senior Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
199
Reaction score
159
So uganda has taken the first possition as the best Entrepreneurial country in the world: From what i know about uganda is:

-> It doesnt have the best government so far
-> Much weak currency compared to other nations( Tanzania, Kenya, Rwanda)
-> A poor country

:
but what happend to the youths of other nations like Tanzania?
 
Mh! Hawa Alux nao, Rwanda unawaachaje kwa mfano?
 
Hiyo ni kweli. Niliwahi kuwa na kitabu kina business ideas n plans. Kimeandikwa uganda. Waganda wapo serious sana na maswala ya entrepreneurship

basi hawa jamaa wametuzidi parefu sana: binafsi sjui sana kuhusu uganda nmeona tu kwenye hio video
 
So uganda has taken the first possition as the best Entrepreneurial country in the world: From what i know about uganda is:

-> It doesnt have the best government so far
-> Much weak currency compared to other nations( Tanzania, Kenya, Rwanda)
-> A poor country

:
but what happend to the youths of other nations like Tanzania?
Baada ya kukimbiza wahindi biashara nyingi kama si zote zinafanywa na wazawa. Tembea uone hao watu wana business skills na Mu7 haingillii mambo ya wananchi isipokua wanasiasa
 
Naunga mkono utafiti huu kwani wafanyabiashara na wakulima wa Uganda wanathaminiwa sana na serikali,Mimi huwa najiuliza wanaotaka kumtoa mseven wanataka wamuweke nani
 
Naunga mkono utafiti huu kwani wafanyabiashara na wakulima wa Uganda wanathaminiwa sana na serikali,Mimi huwa najiuliza wanaotaka kumtoa mseven wanataka wamuweke nani

ila nahisi kwenye hio video wamegeneralise: so it means wana skills zaidi ya ukulima maaana wamechukua nafasi ya kwanza kwamba wameipita hadi nchi zilizoendelea
 
Back
Top Bottom