Geoffrey Eng Atkinson
Senior Member
- Mar 22, 2017
- 199
- 159
Mh! Hawa Alux nao, Rwanda unawaachaje kwa mfano?
Wanatumia akili zaidi
Waganda ni mashine zile wanajua kutafuta pesa sio wavivu hawana majungu na hawana choyo kama wakenya na wanyarwanda
Hiyo ni kweli. Niliwahi kuwa na kitabu kina business ideas n plans. Kimeandikwa uganda. Waganda wapo serious sana na maswala ya entrepreneurship
watanzania tunakwama wap kwanHiyo ni kweli. Niliwahi kuwa na kitabu kina business ideas n plans. Kimeandikwa uganda. Waganda wapo serious sana na maswala ya entrepreneurship
Majungu mengi na ubinafsiinawezekana pia, shida ni sisi watanzania tunshindwa wap tufike apo
Baada ya kukimbiza wahindi biashara nyingi kama si zote zinafanywa na wazawa. Tembea uone hao watu wana business skills na Mu7 haingillii mambo ya wananchi isipokua wanasiasaSo uganda has taken the first possition as the best Entrepreneurial country in the world: From what i know about uganda is:
-> It doesnt have the best government so far
-> Much weak currency compared to other nations( Tanzania, Kenya, Rwanda)
-> A poor country
:
but what happend to the youths of other nations like Tanzania?
Baada ya kukimbiza wahindi biashara nyingi kama si zote zinafanywa na wazawa. Tembea uone hao watu wana business skills na Mu7 haingillii mambo ya wananchi isipokua wanasiasa
Naunga mkono utafiti huu kwani wafanyabiashara na wakulima wa Uganda wanathaminiwa sana na serikali,Mimi huwa najiuliza wanaotaka kumtoa mseven wanataka wamuweke nani
Usichokijua ni kwamba wakulima wa Uganda wako juu sana na ni matajiri wakubwa mno tofauti na sisiila nahisi kwenye hio video wamegeneralise: so it means wana skills zaidi ya ukulima maaana wamechukua nafasi ya kwanza kwamba wameipita hadi nchi zilizoendelea
Mbona hata sisi tupo serious sana Insta? zoazoa soapHiyo ni kweli. Niliwahi kuwa na kitabu kina business ideas n plans. Kimeandikwa uganda. Waganda wapo serious sana na maswala ya entrepreneurship