So Violent people on earth?

Pale malaika mkubwa kule mbinguni alipotaka kuanzisha utaratibu wake independent,ikatokea vita,akapigwa,yeye na wenzie,wakafukuzwa.Hadi leo kule mbinguni ustaarabu wa kiungu umetamalaki.Kule Atlantis,Grigori walipotaka kuitawala dunia,palizuka vita,binadamu akashindwa,but again,Uungu ukaingilia kati,Grigori wakatandikwa,ustaarabu wa binadamu ukatamalaki.Tangu wakati ule Hallel alipodhani yeye kama kiumbe anaweza kusimama independent na kutumia kichwa chake kama mamlaka kamili,aligundua mamlaka hiyo haiwezi kuishia kwake pekee,bali lazima iwe juu ya wengine,wawe chini yake.Since tayari alikuwepo mwingine mwenye mamlaka,war was inevitable.Hallel baada ya kushindwa mbinguni,amehamia duniani,kwa viumbe wengine wa Uungu,anatafuta jambo lile lile,mamlaka,ili awe na uhuru kamili.Binadamu nao wamegawanyika,kila moja na upande wake,wako walio na Hallel,wako walio na Uungu,wote wanadai kuisimamia haki ya ubinadamu,they are fighting for civilization.Even among us,as humans,tuna mitazamo fulani,inayoongozwa na "Hallel doctrine",yaani Uhuru kamili,na ndipo hapo tukiwa peke yetu,hatuoni maana ya upweke huo,tunahitaji kuwa na wengine,ila tuwe nao tukiwa huru kamili,yaani mamlaka yetu itamalaki in the presence of others,na wao nao huwaza hivyo hivyo,matokeo yake vita hutokea,na mshindi hutawala wengine,na kuhakikisha ustaarabu anaotaka yeye unatamalaki.Hivyo basi, suala linalomfanya mzungu awe at the center of every major war of our generation, ni suala la WHO IS mzungu katika kizazi hiki?Bila shaka,mzungu ndiye mwenye mamlaka,na dunia imejazwa na ustaarabu wake,yeyote anayekwenda kinyume,ni lazima akutane na drones,nuclear bombs,etc!Mzungu anataka uendelee kuendesha gari lake,kutumia tv yake,kununua GMO zake,etc!Hakubali uwe huru kamili ndani ya ustaarabu wake.Na kama unafikiri yupo mtu mwingine yeyote unayedhani ana wema wa kuwa na mamlaka kamili juu yake mwenyewe na wengine pasipo ku-enforce ustaarabu wake,basi msubiri mtu huyo apate hayo mamlaka,then umhukumu kwa utakayoyaona kuanzia hapo!Hivyo katika kizazi hiki,there is a lot to blame,a lot to praise kwa wazungu,kwa kuwa all ways lead to Europe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…