Vipaji vingine hana! Ila kuna kimoja anacho ndicho kinachowapa tabu watoto wakike !
Kipaji gani bwana kwanza namuonaga mchafu mchafu tu anatia kinyaa
Nenda Jukwaa la Bondeni kule south Africa!
Wakakuonyeshe kipaji alicho nacho huyu jamaa !
Mi hutonikuta !
Mimi silijui hilo jukwaa jaman
Watakuwa wamelitoa mkuu !
Invisible labda kalifuta !
!
Aliona watu wenyewe hawalichangamkii ! Wala nini
Nipe basi ubuyu kidogo lilikua linahusu nini?kwani huyo fuska manaiki yupo humu jf?
kumbe ulikuwa unajua kama Fuska eeh !
Manaiki ndo mie !
Sasa kwani kama ndo wewe unamtisha nani?usiambiwe ukweli au?huyo raisi tu anachanwa ije kua wewe bwana
Poa nyie nisemeni, nipondeni, vyovyote mtakavyo mridike nyie !
Hahahaaaa yani kama ndo wewe manaiki kweli take it from me,I hate u from the bottom of my heart
sababu yakunichukia mimi ni nn hasa?
Kweli wewe hujielewi,anyways ata ivo nna mambo mengi ya kufanya nadhani comments umeziona zangu na wengi humu wamechangia vipi so bye
Hahahaaaa yani kama ndo wewe manaiki kweli take it from me,I hate u from the bottom of my heart
Sasa kwani kama ndo wewe unamtisha nani?usiambiwe ukweli au?huyo raisi tu anachanwa ije kua wewe bwana
Mi nahisi sie ila kama ndo yeye atajuuta kuni PM
Hahhhhhahha mkwepee huyo jamaa ni kibokooo weka mbali na watotoo
Aah haniwezi mjinga mjinga kama yule,hakyamungu namchukia hatari