Kwani mi nilipenda kuumbwa hivi jaman !
Afu mnajifanya hamnipendi kumbee mna !
Nahisi wewe sio manaiki basi tu unataka kutupandisha temper hapa ufuraaahi eeh?kama ndo wewe wanakupenda haohao ila mimi......dah sijui nisemeje
Nahisi wewe sio manaiki basi tu unataka kutupandisha temper hapa ufuraaahi eeh?kama ndo wewe wanakupenda haohao ila mimi......dah sijui nisemeje
Mmmmh...!
Hahahaah nilpofungua hii thread na kuona hiyo picha nilijua utatokea na kumomment juu ya hicho
Muulize Heaven on Earth ye kauona huo mzigoo
kwni we hujui ni mzigo gani!!!!!!!!!
kwni we hujui ni mzigo gani!!!!!!!!!