SOCCER: Wabunge vs Wawakilishi kuzomewa kwa posho zao

SOCCER: Wabunge vs Wawakilishi kuzomewa kwa posho zao

Lupweko

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
23,566
Reaction score
24,891
Watu wamepania kuwazomea wabunge kwa kujipandishia posho kwa kiwango kikubwa! Pia wawakilishi watazomewa kwa kuvaa jezi za udhamini wa pombe huku wakivizuia vilabu vyao Zanzibar kudhaminiwa na pombe! Tusubiri muda kama hawa wapenzi wa soka watatimiza kile walichopania
 
naona hawa wazee wa posho(bunge)wamewafunga wenzao
 
Naona leo watalipwa posho nyingi sana kwa kucheza hii mechi!!
 
Back
Top Bottom