Social media BOUNCER

Social media BOUNCER

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Habari zenu wanazengo.

Moja kwa moja nijikite kwenye hii maada aisee ukisitaajabu ya musa utaona ya farao,na mengine mengi.
Hizi social media zote zinawatu waajabu sana,hata huku jamii forums kuna watu waajabu sana.

Kuna watu wapo nyuma ya button za simu wanajiona mabouncer hata kwenye mkono hawajai, unakuta mtu anakuvimbia nitakupasua wewe, yaani uniambii kitu kumbe anaye post hivyo ni katoto kadogo bado kanavishwa nepi.

Unaandika uzi wako kama hivi,anakuja mtu anakutukana na kukuletea ubabe hata hajui background yako,hizi social media zina mabouncer wengi sana, tusiviambiane bana, mtu anakuambia niambie nilipo nije kupigana na wewe haya yote yanatokea kwakuwa mmezinguana kwenye comments.

Ni hayo tu wandugu...
 
Kwahio baada ya kumsikia Nikki Mbishi ndio umekuja kuanzisha thread?
 
Back
Top Bottom