Wote Zitto na February Makamba Wanafadhiliwa na mafisadi ili wajijenge kwa jamii PR, wanatoa wamekuwa kama matangazo ya biashara, kamati kamati kamati kumbe wanasafisha njia kwa mafisadi RA na EL. January (ahakikishe mitambo inaingia), Zitto (Pesa zinapatikana za NSSF)