Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Jan 25, 2017 #1 Haya mambo ya Social Network, Kila kitu unapost tu. Kuna jamaa kaandika Kwenye FB: "Ahsantee Yesu nimepata mshahara wangu...."[emoji120] Dakika 3 so nyingi, Mwenye Nyumba amesha Like
Haya mambo ya Social Network, Kila kitu unapost tu. Kuna jamaa kaandika Kwenye FB: "Ahsantee Yesu nimepata mshahara wangu...."[emoji120] Dakika 3 so nyingi, Mwenye Nyumba amesha Like