social networking...

kuna mtu bwana kagongwa na gari kisa alikuwa akijibu comments kwenye facebook mobile...jamaa alikuwa busy nasimu huku akiwa pembeni mwa barabara ghafla akaacha njia akaanza kuelekea ndani ya barabara macho na akili kwenye simu....sema jamaa hakumgonga kwa nguvu alimsukuma tu kwani alishamuona.
 
social networkng sio mbaya jamani ukijiunga u decide what u wnat to post and unleash to the world. so really everyhting realy boils down to you as a person. watu wanafanya biashara na kupata ajira from those websites, mbona JF hii hapa imewasaidia wangapi? I choose what to join and even carefully sieve through what i post and not post.
 
hizi ni relation zilizoingiliwa!inapofika muda unatakiwa urudi nyumbani unatamani kufa!hiyo nyumba unaiona chungu.huyo mume/mke unamuona shetani

Umejuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…