Social welfare lawyers

Social welfare lawyers

32Roberts

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
109
Reaction score
17
Nina issue ambayo nahitaji msaada wa kisheria kwenye maswala ya Ustawi wa jamii.kama ni mtaalamu basi ni PM ukiwa na CV yako .veting itafanyika baada ya hapo appointment itapangwa, Nnacho hitaji ni consultation tu.
 
Uko serious wewe? Nenda Tanganyila Law Society
 
Duh sijui unataka usaidiweje maana kama ni private tafuta mawakili. wapo wengi sana pale Posta mpya.
 
Back
Top Bottom