C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Sep 15, 2024 #1 Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
kilio Member Joined Jan 24, 2014 Posts 29 Reaction score 36 Sep 15, 2024 #2 Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema
Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Sep 15, 2024 Thread starter #3 kilio said: Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema Click to expand... Kujitambua kwa namba ipi mkuu
kilio said: Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema Click to expand... Kujitambua kwa namba ipi mkuu
M Mtambachuo JF-Expert Member Joined May 6, 2023 Posts 1,907 Reaction score 3,560 Sep 16, 2024 #4 Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science ina uwanja mpana kabisa kwanza ni Science pili haina watu wengi Kama Social work na sasa hivi mambo ya mazingira ni moja ya agenda kubwa duniani.
Crystal field theory said: Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni Click to expand... Environment Science ina uwanja mpana kabisa kwanza ni Science pili haina watu wengi Kama Social work na sasa hivi mambo ya mazingira ni moja ya agenda kubwa duniani.