G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wajumbe mie naomba kujulishwa hivi soda ipi nzuri kiafya ambayo ndani yake unaweza ukapata virutubisho muhimu mwilini kwasababu kuna baadhi ya soda kama cocacola naziogopa kabisa kutokana na vitisho nilivyovipata kwamba kwa mfano mfupi ukichukua mfupa wa kuku na kuweka pamoja na coca katika glass kwa masaa kadhaa ule mfupa unayeyuka ndipo nilipogundua kuwa hii soda ni destructive one so ipi ni nzuri kwa afya na ina virutubisho gani mwilini?