Soda zinazeesha

Napinga...

Pombe ndiyo inazeesha haswa... utamkuta mtu mdomo umeungua, nywele zote nyekundu kisa pombe...



Cc: mahondaw
 
Soda huwa zinanenepesha maaana mm huwa nikinywa sana nashangaa na nenepa kweli kweli so huwa kwa week nakunywa moja tu kwa sasa so kwa mwezi na kunywa NNE tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…