INAUZWA Sofa (makochi) mawili yanauzwa

INAUZWA Sofa (makochi) mawili yanauzwa

Mmmh!! hizi sofa kwa pamoja inatakiwa laki tano na nusu? Si mchezo, naona tupo uchumi wa kati.
 
Nyie ndo mnaaminisha watu umaskini umepungua!
 
Mkuu 250k ipo chini sana boss...nimetumia kwa miezi sita asee na 250k haijafika hata nusu ya gharama zikiwa mpya
We ulipigwa yan hayo magodoro ya bongo na juu yamefunikwa na maplastic unataka nambia umeuziwa milion au laki 9 au 8 aisee umepgwa kbs na bado umetumia miez 6
 
Nimechukua laki 750k..na nimenunua vitu mwenyewe fundi katengeneza tu
 
Sawa lakini kwa magodoro haya ya bongo na hayo maplastic ni shda bora kingekuwa kitambaa
Ila utapata tu mtu
 
We ulipigwa yan hayo magodoro ya bongo na juu yamefunikwa na maplastic unataka nambia umeuziwa milion au laki 9 au 8 aisee umepgwa kbs na bado umetumia miez 6
Hapo auze tu kupunguza hasara na sio kurudisha gharama. Kwa 550k unapata sofa mpya kwa fundi.
 
Mkuu 250k ipo chini sana boss...nimetumia kwa miezi sita asee na 250k haijafika hata nusu ya gharama zikiwa mpya
Sawa mkuu, kama mpaka tarehe 28 utakua hujapata mteja utanicheck tugawane umaskini.
 
Hizi sofa ..godoro zake ni nzito na nzuri sio vile vyepesi na mbao zake pia ni imara sana..ukijakuchukua utaona mwenyewe sio soft wood hizi
 
Sawa mkuu. Ukifika around 300k tushtuane.
 
Back
Top Bottom