Sofa Set na Coffee Table zinauzwa

Sofa Set na Coffee Table zinauzwa

90sgeneration

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
421
Reaction score
502
Njoo makumbusho uchukue sofaset kali na meza yake kama unavoziona kwenye picha, kwa 600k tu instead of 1.25M.

超级截屏_20240605_131555.png

Contact: 0697224996
 
Kama itakupendeza naomba nilipie 400000.vyote!!
Asante.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kama bado vipo!! Mwisho bei gani?
ni fixed price mkuu, bado vipo katika ubora wake (like new) , havijatumika sana, vimenunuliwa kwa 1.25M, hivo hiyo ni fair price kabisa mkuu, karibu
 
Back
Top Bottom