INAUZWA Sofa set na meza vinauzwa

miles2020

Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
66
Reaction score
25
Hiii sofa set inauzwa na meza yake kwa pamoja.

KUHISU HIZI SOFA
Jumla ni watu saba (7), yaan 3,3,1. pia ina cha kuwekea miguu

Bei ni laki 8 vyote kwa pamoja na meza.

Siuzi kimoja kimoja

Ila maongezi yapo

Nipigie au nitumie sms kwa hii namba

0758417032

NAPATIKANA. Mwanza

View attachment 1773833
 
Mzigo uko vizuri wanakuja wadau. Good!

Not my taste
 
Sisi tuna watoto rangi nyeupe hatuiwezi mkuu,badilisha Rangi tafadhali.
 
Mkuu laki nane?
Huko kuchanika inakuwaje?
Bei kubwa mno kulingana na quality Yake (yameanza kuchoka/kuchanika)
Sofa zinahitaji matengenezo au marekebisho kwanza
Ndo maana nikasema kuna punguzo,, ndo maaana pia ipo meza.

Lakin pia hayajachanika kama unavohisi..nauza kwa kuwa kuna mambo nataka kufanya binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…