Clearing Agent
New Member
- Jun 28, 2019
- 2
- 92
Mleteni huku Koromije tumsukumie mimba ndani.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] show zilifanyika ila sio za kibabe c unajua wanaume wa dar tumeshindwa mpa ata mimba wema sepetu
Sijui mbunifu ni fundi au mwenye mali maana kaweka rangi za kishamba kweli kweliNikajua shati ..kumbe sofa.
Hii hapaWewe unavutiwa na fashion ipi?
Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text 0653953900 tumalize biashara. View attachment 1202214View attachment 1202215View attachment 1202217View attachment 1202218