Kuna fundi nilimpata mtandaoni nikampa picha ya sofa nazotaka atengeneze. Nikasafiri nikaacha Mwanaume anatengeneza sofa dah!!
Nilikutana mbao zilizofunikwa na matambara.
π π π π πKuna fundi nilimpata mtandaoni nikampa picha ya sofa nazotaka atengeneze. Nikasafiri nikaacha Mwanaume anatengeneza sofa dah!!
Nilikutana mbao zilizofunikwa na matambara.
Ha ha haa! Hizi za kuidownload kweny Google eeh? Ndo upate kwa 350k?Mimi nikadhani ni kama hizi!View attachment 1644776View attachment 1644777View attachment 1644778
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule fundi sina uhakika sana ila huwenda akawa ndiye Fundi Maiko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna fundi nilimpata mtandaoni nikampa picha ya sofa nazotaka atengeneze. Nikasafiri nikaacha Mwanaume anatengeneza sofa dah!!
Nilikutana mbao zilizofunikwa na matambara.