Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
hongera sophia simba kwa ujasiri. katibu mkuu akilegalega aondoke, hakuna haja ya kusubiri sijui hadi uchaguzi mwingine. huyu simba ni mama wa shoka, ni mwepesi wa kuchukua hatua. nimempenda sana kwa ujasiri wake huu kama habari hizi ni za kweli.
kulindana ndio kumetufikisha hapa. hii ni salamu maalum kwa JK asiendeleee kumkumbatia makamba wakati chama kinasambaratika. hongera simba,umedhihirisha kuwa wewe ni simba halisi. nakuombea udumu hapa na baada ya JK ulambe fomu ya magogoni...................... big up mamamaaaaaaaaaaa.........
Sophia nae Fisadi tu hakuna lolote,mie simfagilii kwa kumwagia mwenzie kitumbua wakati yeye pia kilaza na anakula tu mi kodi yetu...Mungu tuma mwana atuokoe na haya majanga ya kila siku na Ubabe...kama kweli yeye yuko swafii kwa nini kuna ugomvi na mama Kahama?f ss