J Joack Member Joined Jul 2, 2012 Posts 31 Reaction score 7 Jul 12, 2012 #1 Jamani wanaJF, naomba kuuliza financial institutions zinazotoa soft loans zenye riba nafuu. Pia naomba anayeweza kunielewesha kuhusu mikopo kwa mfumo wa karadha.
Jamani wanaJF, naomba kuuliza financial institutions zinazotoa soft loans zenye riba nafuu. Pia naomba anayeweza kunielewesha kuhusu mikopo kwa mfumo wa karadha.