sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,491
Msaada wanaJF,
Utani weka pembeni,
Nimemc Nyimbo Laini za Kimapenzi hadi nimezisahau.
Naomba mnikumbushe baadhi ya nyimbo zenye hisia za kimahaba nisikilize nijisikie kama nipo Paradise wakuu wangu. Za kizungu na kiswahili. Mfano ule wa "Michael Learns 'Take me to ur heart'"