Softcopy kwa kiswahili

Softcopy kwa kiswahili

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,313
Reaction score
1,852
Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na hivyo kuongeza ufahamu na ufanisi wa kusoma.

Pia, mimi hutafsiri vitabu kwa lugha yoyote, kuhakikisha kwamba kila msomi anapata kile kinachozungumziwa katika lugha anayoielewa.

Tafsiri hii inafanya elimu na burudani kufikiwa na watu wengi zaidi, bila vikwazo vya lugha.
 
Attachments

  • Screenshot_20241207-210410.png
    Screenshot_20241207-210410.png
    452.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20241207-210558.png
    Screenshot_20241207-210558.png
    514 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241207-210504.png
    Screenshot_20241207-210504.png
    226.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241207-210439.png
    Screenshot_20241207-210439.png
    488.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241207-210710.png
    Screenshot_20241207-210710.png
    671.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241207-210656.png
    Screenshot_20241207-210656.png
    607 KB · Views: 8
  • Screenshot_20241207-210640.png
    Screenshot_20241207-210640.png
    279.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20241207-210620.png
    Screenshot_20241207-210620.png
    60.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241208-093355.png
    Screenshot_20241208-093355.png
    378.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20241208-093602.png
    Screenshot_20241208-093602.png
    710.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241208-093536.png
    Screenshot_20241208-093536.png
    477.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241208-093622.png
    Screenshot_20241208-093622.png
    430.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241208-093713.png
    Screenshot_20241208-093713.png
    385.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241208-004539.png
    Screenshot_20241208-004539.png
    1.2 MB · Views: 5
  • Screenshot_20241208-001927.png
    Screenshot_20241208-001927.png
    602.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241207-211514.png
    Screenshot_20241207-211514.png
    875 KB · Views: 7
Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na hivyo kuongeza ufahamu na ufanisi wa kusoma. Pia, mimi hutafsiri vitabu kwa lugha yoyote, kuhakikisha kwamba kila msomi anapata kile kinachozungumziwa katika lugha anayoielewa. Tafsiri hii inafanya elimu na burudani kufikiwa na watu wengi zaidi, bila vikwazo vya lugha.
Mkuu navipata vipi?
 
Una copy right ya kuandika vitabu vya wengine kwa kiswahili? Kama huna basi jitayarishe kufungwa miaka mingi kwani unafanya ujambazi wa kimataifa. Nakuhakikishia kama huna ruhusa basi utavuna unachopanda. Wenzako wanafanya research na kutumia muda wao kuandika vitabu wewe unakuja kupora na kujipatia fedha? Siku zako zinahesabika, kama huna ruhusa.
 
Wivu Wivu na uvivu wa kushindwa kufanya nenda India wanachukua vitabu hivyo hivyo wanapiga cop kama kilivyo Wanasambaza mamilion ya kopi na kuwa tajiri.. Cjui ww wa wapi una Wivu hivyo
 
Wivu Wivu na uvivu wa kushindwa kufanya nenda India wanachukua vitabu hivyo hivyo wanapiga cop kama kilivyo Wanasambaza mamilion ya kopi na kuwa tajiri.. Cjui ww wa wapi una Wivu hivyo
Siyo wivu. Mimi nampa tahadhari pengine hajui ni nini kinaweza kutokea. Na mbaya zaidi anatumia internet kutangaza mali za wizi.
 
Siyo wivu. Mimi nampa tahadhari pengine hajui ni nini kinaweza kutokea. Na mbaya zaidi anatumia internet kutangaza mali za wizi.
Unajua wanacho Fanya wahindi juu ya hivyo vitabu au unaongea tu kwaajili Wivu, badala kumpongeza kaumiza akili na muda wake kunja vunja maarifa yaliyo kwa lugha geni kusaidia watu wasio jua lugha ya kigeni unaleta matisho.. Ww una Wivu jua hilo.
 
Back
Top Bottom