kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 161
- 280
Ficha ujinga wakoMifumo 6 si ni biashara tosha sasa !, fanyia marketing hizo kazi
Kwani amefanya kosa gani la ww kustahili kumwambia hivyo? Nafkiri ww ndio una shida tena kubwa!Ficha ujinga wako
Bado na mimi nashindwa kuelewa anakwama wapi huyu jamaa.na akili yako kubwa hivyo unawaza kuajiriwa? hiyo mifumo yako 6 ukiwa serious kuzitangaza ukapata walau wateja 10 tu kwa kila system alafu uka walipisha 50,000 tu monthly maintenance fee & support 50,000 x 10 x 6 = 3,000,000 hapo bado Installation & configuration charges
asante mkuu kwa wazo zuri, ofcourse kwa sasa nipo kwenye marketing, japo ni mambo machache ya kifedha diyo yamenirudisha nyuma, kuna mambo ya kifamilia ndiyo yalinirudisha kidogo.na akili yako kubwa hivyo unawaza kuajiriwa? hiyo mifumo yako 6 ukiwa serious kuzitangaza ukapata walau wateja 10 tu kwa kila system alafu uka walipisha 50,000 tu monthly maintenance fee & support 50,000 x 10 x 6 = 3,000,000 hapo bado Installation & configuration charges
Inshallah Mkuu, matamanio yangu ni kuwa self employed, ndiyo maana pamoja na kuweka hizi posts za projects, ni moja ya marketing, maana yake, mtu akihitiaji mfumo tunahitaji biasharaBado na mimi nashindwa kuelewa anakwama wapi huyu jamaa.
Yaani anataka kujiingiza tena kwenye mifumo ya kinyonyaji wakati tayari ana assets
ujinga gani hapo master kaonesha ? hizo project sita ni biashara hiyo tayari kama akaweza fanya marketing akapata hata wateja kadhaa ni biashara tayari.Ficha ujinga wako
sawa ongeza nguvu na strategies kwenye marketing ikiwezekana tafuta wataalamu wa digital marketing walipe pesa wakutangazie ili kazi iende kwa spidiInshallah Mkuu, matamanio yangu ni kuwa self employed, ndiyo maana pamoja na kuweka hizi posts za projects, ni moja ya marketing, maana yake, mtu akihitiaji mfumo tunahitaji biashara
shukrani mwanangu kwa usahauri mzuri.sawa ongeza nguvu na strategies kwenye marketing ikiwezekana tafuta wataalamu wa digital marketing walipe pesa wakutangazie ili kazi iende kwa spidi
shukrani mwanangu kwa usahauri mzuri.
nitaufanyia kazi for sure
Kijana kutengeneza Business system inacost kiasi gani?SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA
Habari wana JamiiForums,
Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza mifumo ya kisasa ya Web Applications kwa ajili ya biashara na taasisi mbalimbali.
Kwa sasa ninatafuta fursa ya ajira, freelance projects, clients au ushirikiano wa kibiashara ambapo naweza kutumia ujuzi wangu kutatua changamoto halisi kwa kutumia teknolojia.
Badala ya kuelezea uwezo wangu kwa CV pekee, nimeamua kuonyesha kwa vitendo baadhi ya mifumo ambayo nimeweza kuitengeneza.
BAADHI YA PROJECTS NILIZOTENGENEZA
1. SchoolHub – School Management System
Mfumo wa kusimamia wanafunzi, walimu, ada, attendance, mitihani, report cards, timetable, payroll, inventory, reports na shughuli nyingine za shule.
2. Dukani – Point of Sale (POS) & Inventory System
Mfumo wa kusimamia mauzo, bidhaa, stock, barcode/QR Code, purchases, expenses, customers, receipts, quotations, profit na business analytics.
3. Clearing & Forwarding Management System
Mfumo wa kusimamia clients, clearing jobs, shipments, containers, quotations, invoices, payments, demurrage/detention, expenses, accounting na reports.
4. Hotel Management System
Mfumo wa kusimamia rooms, reservations, guests, check-in/check-out, payments, invoices, staff na performance ya hotel/lodge/guest house.
5. Yanga Intelligence 360
Football intelligence platform inayolenga kusaidia katika player scouting, match/video analysis, player performance data na football analytics.
6. PhotoHub – Photography Business Management System
Mfumo wa photographers na studios kusimamia clients, bookings, photography projects, galleries, payments, expenses, schedules na business analytics.
TECHNOLOGIES
Katika development nimefanya kazi na technologies kama:
Laravel / PHP • React • JavaScript • MySQL • REST APIs • HTML/CSS • Git/GitHub
Pia natumia AI-assisted software development tools kuongeza productivity katika development, debugging, testing, documentation na code review.
Kwangu AI si mbadala wa uelewa wa software development; ni tool ninayotumia kuongeza efficiency. System architecture, database design, business requirements, integrations, deployment na maintenance bado vinahitaji developer kuelewa anachojenga na kwa nini anakijenga.
NINACHOTAFUTA KWA SASA
Niko tayari kwa:
• Full-time Software Developer / IT position
• Remote opportunities
• Freelance software development projects
• Businesses zinazohitaji mifumo niliyotaja hapo juu
• Custom system development kulingana na mahitaji ya kampuni
• Partnership/investment opportunities kwa baadhi ya software products nilizotengeneza
Niko tayari kufanya demonstration ya systems zangu kwa mtu/kampuni yenye interest.
Portfolio yangu pamoja na demonstrations za projects ZOTE zinapatikana hapa:
PORTIFOLIO WEBSITE: projectworldtz.com
Kama kampuni yako inatafuta developer, una business inayohitaji mfumo, au unaona tunaweza kushirikiana kibiashara, nitafurahi kuwasiliana nawe.
ProjectWorld Tanzania
0687516723 (Normal call)
0620224372 (whatsapp)
email: informtech2001@gmail.com
location: Gongo la Mboto- Dar eS Salaam
"Innovative Solutions for a Smarter Tomorrow"
SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA

hahaha, mkuu sitii huruma.Kijana fanya marketing. Pita mlango kwa mlango hadi upate wateja. Weka bei rafiki ya kazi zako pia tumia lugha nyepesi inayoweza kueleweka na wateja. KISWANGLISH achana nacho. Wamiliki wengi wa makampuni hawana elimu kubwa kwa hiyo ukianza kumtajia debugging, integrations, sijui architecture utamchanganya.
Pia nimeona umeandika kuna mambo ya hela yalikurudisha nyuma na ishu za kifamilia. Huo utetezi wako ni kutaka kupata huruma za watu kitu ambacho kamwe hutakipata. Hakuna mtu anayekuonea huruma. Matatizo binafsi na ya kifamilia achana nayo kwa sasa. Focus kwenye kuuza huo ujuzi wako.
Unaweza design website?hahaha, mkuu sitii huruma.
ina all in all, nimeupokea ushauri wako kaka..