Software Development- Part 1

Software Development- Part 1

galasa

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
14
Reaction score
3
Salamu wadau ....
Wengi wetu tumekua tukitumia software mbalimbali katika maisha yetu...nna uhakika baadhi mtakuwa mmejiuliza zinafanyaje kazi na zinatengenezwa vipi ...
Hii itakuwa ni fursa adhimu kujifunza kutengeneza software.....

Kuhusu mimi... nna uzoefu wa miaka miwili katika kutengeneza software

Tutatumia C# language kudevelop software

Hii nadhani itawasaidia wanafunzi na Hobbyist kwa hiyo wafikishieni ujumbe kama itawezeka.....

Maoni yanakaribishwa kuhusu somo hili


[h=2]Software Development- Part 2[/h]
 
Back
Top Bottom