Achana na manual work leo, Anza kutumia mfumo mpya na wa kisasa kabisa katika kurekodi na kupata ripoti pale unapohitaji....
Cashier Management System for school ndio jibu lako, acahana na calculator pale unapohitajika kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya shule yako, hamia kwenye single click na kupata riport papohapo.
Inatunza rekodi za malipo ya wafanyakazi, Inarekodi malipo ya ada kwa wanafunzi, inatoa risiti kwa wanafunzi wanaolipa ada, na mengine kibao..
Ni salama na rahisi kutumia.
wasiliana nasi leo 0762 830 685 au 0712 791 397