Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika neno NIMBUZZ.COM.Ukishaingia hapa utakutana na link ambayo unatakiwa kuidownload kwenye simu yako kupitia nambayako ya simu.Waweza fanya zoezi hili kwa kutumia comp au simu yenyewe.Kisha unainstall na kufungua account yako ya Nimbuzz ambayo itakuruhusu kuwaunganisha marafiki zako wooote waliopo yahoo,hotmail,facebook,g mail,twitte na mingine mingi kasoro SKYPE.Usiniulize kwanini hapo sina jibu...!Link yenyewe ni hii hapa; http://get.nimbuzz.com Ukifanikiwa nitaarifu/usipofanikiwa nitaarifu pia...Kila anayependa ni kitu rahisi sana mnaweza tumia ndugu zangu alimradi upo kwenye mawasiliano.Simu aina yoyote isipokuwa ya Mchina line mbili na kuendelea maana juzi nimeona simu ya line tano....!!!!!!Mchina atatumaliza kweliiiii...

nimedownlod but nimeshindwa kufungua account coz connection ina fail sijui tatizo ni nini kwenye cm yangu.
Angalia kama unaweza fungua vitu vingine,Kisha jaribu kurudia,Kama tatizo sio simu basi inaweza ikawa net..Ila kama utafanikiwa ni njia nzuri san ya mawasiliano ndio ninayotumia,Just to make sure your connected with internet..Kama umefanikiwa kudowload na kuinstall na kama imekuonyesha kwamba Open your account umefanikiwa...Tumia email yako ambayo ni valid na password waweza weka unayotumiaga popote au ukatunga mpya.