Software gani nitume kukonvert audio tape kwenda digital

Software gani nitume kukonvert audio tape kwenda digital

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,744
Reaction score
979
Wataalam habari zenu ninaaudio tape za miaka hiyo natafuta namna gani huu music naweza weka ktka digital.
 
Cubase 5. lakini uwe na chombo chenye uwezo wa kuisoma hiyo tape kama redio cassate zenye ubora, uingize line kama unarekodi kutoka kwenye mic ya kawaida, baadaye utaongeza effects za kuiboresha na uta export kama mp3 au format nyingine ya audio unayoitaka
 
Wapi
Wapi hapo
1579722039526.png
 
Back
Top Bottom