Cubase 5. lakini uwe na chombo chenye uwezo wa kuisoma hiyo tape kama redio cassate zenye ubora, uingize line kama unarekodi kutoka kwenye mic ya kawaida, baadaye utaongeza effects za kuiboresha na uta export kama mp3 au format nyingine ya audio unayoitaka