Software hizi lazima ziwepo kwenye PC yangu, wewe?

Haiwezekani mtu kuwa na all apps, ni waste of storage kwa sababu sheria ya kwanza ya uhifadhi wa apps ni lazima ziwe zinatumika mara kwa mara katika shughuli zako, la si hivyo ni waste of storage kwenye PC.

Kama mtu ni graphic designer weka apps zinazodeal na graphics

Kama mtu ni developer weka apps za developers

Kama ni muandishi weka za uandishi.

It’s so weird mtu ana AutoCAD, Android Studio, Global Maper, Adobe Premiere, After Effect, Logic, FL Studio, Blender n.k in one device, mtu ana apps nyingi halafu hazitumii.

Excluding apps kama Spotify, Microsoft Office n.k ambazo ni basic na universal.
 
Kma mm siwezi kuwa na apps nyingi kwenye PC yangu. Kwanza huwa siizimi nina sleep tu. Siku zote Browser, Intelij IDEA or Android studio na Calendar zipo open. App nyingine nazitumia mara chache sana yaani so sinaga app zisizo na kazi kwenye PC yangu.
 
Pia kuna STAAD Pro, ESurvey CADD na ETABS ... ziko nyingi sana
Ni kweli Japo nina softwares tofauti ambazo ni specific kwa Designs za Beams, Columns, Retaining walls, Foundations, Concrete tank etc.
 
Programming miaka 100 mbele watu hawataisoma kabisa
Hivi ni kwanini mkuu!? Tuseme level yetu ya technology na innovation iko chini sana ama nini!? Ila programming inayofundishwa hapa bongo kwasisi non-majors ni basic sana.
 
Sijaona CALL OF DUTY
Tokea nianze kucheza playstation 2002 hadi namaliza chuo 2015 sijaona faida ya games, sioni ilichoniongezea kichwani zaidi ya kuwa burudani ya macho tu, Kwa sasa nmejikita zaidi na vitabu na kiukweli vinasaidia sana, naipenda sana hii hobby ya vutabu.....i advise you too
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…