Software ipi nzuri kuhifadhi data na kurestore data pale computer inapocorruot ama window ku espire??

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakubwa,

Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu vyote vya mwanzo kama kawaida.

Natumia window 7 32 bit system. Pia nikiwa narestore data zote iwe internet connection au kwa email tu labda.

Shukrani
 
Kwanza nadhani kuna kitu hujaeleza vizuri. Kuna online services za kujifadhi data kama vile Dropbox, Google drive etc, huko kuna huduma za free na za kulipia. Huduma za free wanakupa GB kidogo tu, ukitaka zaidi unalipia. Kwa mfano ukitumia Dopbox free kwa sasa wanakupa 2GB ambapo utakuwa na folder kwenye computer yako ambalo linaSynchronize na folder lako la kwenye account ya Dropbox. Unapoweka kitu kwenye hilo folder basi muda huo huo linaUploadiwa kwenye account yako ya Dropbox na unaweza kupata hayo maFile ukiwa popote ili mradi kuna internet. Na ukifuta file kwenye hilo folder la dropbox kwenye computer yako, basi pia litafutika kwenye account yako, lakini ukiformat computer hakuna madhara.

Option nyingine, ni kufanya backup ya computer yako mara kwa mara kwa kutengeneza System Image ya computer ambapo hii inaCreate backup ya hadi settings na programs zote. Utatengeneza System Image ya mara ya kwanza ambayo ndio Main, halafu kila baada ya muda fulani unatengeneza incremental backup ili kuiUpdate ile backup ya mwanzo. Hii unaweza kutumia windows inbuilt utility au unaweza kutumia ThirdParty software kwma vile *AcronisTrueImage*

Ila tu kumbuka ukifanya backup ya system image itabidi uhifadhi hiyo backup sehemu salama kama vile kwenye external au storage yoyote ambayo utakuwa hautembei nayo, kwa usalama.
 
Mkuu umejibiwa majibu karibu yote hapo juu,kwa kuongezea kama upo serious na data zako.

1. Nunua Ssd na upige windows kwenye ssd na uwe na HDD nyengine ya backup na kuhifadhia mafile, hio HDD utakuwa haitumiki matumizi ya kila siku.

2. Nunua Nas server kwa ajili ya local backup

Njia zote hapo juu pia unaweza ukaset Raid kwa kuweka HDD mbili zenye same files, incase HDD moja ikiharibika data zako zibaki HDD nyengine.
 
Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kufanya system image backup. Hiyo imenisaidia siku nyingi.

Ushauri: Ukitaka kufanya system image backup chagua state ambayo computer yako una uhakika kwamba ni safi ama haina mgogoro wowote wa software.
Baada ya hapo kama umeongeza mabadiliko yoyote kwenye computer yako na umeyapenda huku ukijua bado ni safi, fanya tena backup.
Ndivyo mimi hufanya.

Sent from cupboard using mug
 
Yaani unachagu kucreate file sehemu safi na uchague kuwa hiyo ndo iwe sehemu ya kufanyia backup? Nafanya vipi hiyo system image backup?
 
Mkuu umejibiwa majibu karibu yote hapo juu,kwa kuongezea kama upo serious na data zako.

1. Nunua Ssd na upige windows kwenye ssd na uwe na HDD nyengine ya backup na kuhifadhia mafile, hio HDD utakuwa haitumiki matumizi ya kila siku.

2. Nunua Nas server kwa ajili ya local backup

Njia zote hapo juu pia unaweza ukaset Raid kwa kuweka HDD mbili zenye same files, incase HDD moja ikiharibika data zako zibaki HDD nyengine.
Sawa mkuu yaani nanunua ssd halafu mafile yote naweka kwenye humo ili siku HHD ya ndani ikifa natmia ssd kurudisha data tena?
 
Kwanza nadhani kuna kitu hujaeleza vizuri. Kuna online services za kujifadhi data kama vile Dropbox, Google drive etc, huko kuna huduma za free na za kulipia. Huduma za free wanakupa GB kidogo tu, ukitaka zaidi unalipia. Kwa mfano ukitumia Dopbox free kwa sasa wanakupa 2GB ambapo utakuwa na folder kwenye computer yako ambalo linaSynchronize na folder lako la kwenye account ya Dropbox. Unapoweka kitu kwenye hilo folder basi muda huo huo linaUploadiwa kwenye account yako ya Dropbox na unaweza kupata hayo maFile ukiwa popote ili mradi kuna internet. Na ukifuta file kwenye hilo folder la dropbox kwenye computer yako, basi pia litafutika kwenye account yako, lakini ukiformat computer hakuna madhara.

Option nyingine, ni kufanya backup ya computer yako mara kwa mara kwa kutengeneza System Image ya computer ambapo hii inaCreate backup ya hadi settings na programs zote. Utatengeneza System Image ya mara ya kwanza ambayo ndio Main, halafu kila baada ya muda fulani unatengeneza incremental backup ili kuiUpdate ile backup ya mwanzo. Hii unaweza kutumia windows inbuilt utility au unaweza kutumia ThirdParty software kwma vile *AcronisTrueImage*

Ila tu kumbuka ukifanya backup ya system image itabidi uhifadhi hiyo backup sehemu salama kama vile kwenye external au storage yoyote ambayo utakuwa hautembei nayo, kwa usalama.
Naomba kuelekezwa kidogo kuhus system image ya computer mkuu
 
Sawa mkuu yaani nanunua ssd halafu mafile yote naweka kwenye humo ili siku HHD ya ndani ikifa natmia ssd kurudisha data tena?
Hapana concept hapa ni kama Partition, mfano una local disk c na local disk D ukipiga windows local disk C itafutika na local disk d itabaki.

Ukiwa na ssd na hdd na windows ukaweka kwenye ssd, siku windows ikizingua ina maana data zitapotea kwenye ssd tu ila hdd yako yenye vitu muhimu itakuwa vile vile.
 
Nashkur mkuu wangu
 
Back
Top Bottom