Software line

SheriaE

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
606
Reaction score
447
Hope mko poa!

Poleni na majukumu ya kulijenga taifa.

Moja kwa moja kwenye mada.

Iko hivi leo wakati nawaza kuhusu kusumbua kwa internet ya Vodacom Tanzania kuna wazo lilinijia. Ila sijui kama tayari liko implemented.

Hivi kuna simu ambazo hazitumii mobile service provider chip kwa ajili ya mawasiliano. Yaani kama mtu unahitaji namba for instance ya Vodacom huna haja ya kuwa na chip yao instead utumie kama application ambayo unaweza ukaiinstall kwa simu then ukawa unatumia kama mobile service provider yako.

Ila kuhusu usajili unaenda au kufanyika normal, but tofauti inakuwa hutatumia chip.

Yaani simply simu zisiwe na slot ya kuweka chip za mobile service provider.

Ila samahani kwa uandishi mbovu. Kwa ambao hamtanielewa.

Naomba kuwasilisha.

SheriaE.
 
Bado tatizo litakuwa pale pale na sizani kuwa chip ndo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…