Katika kutatua changamoto ya utunzaji wa "Data" na utengeneaji wa "Taarifa(Reports)" mbalimbali katika uendeshaji wa shughuli za kila siku shuleni, kutana na mfumo wa kidigitali unaofahamika kama "AcademiazSoft".
Your browser is not able to display this video.
Huu ni mfumo mahsusi kwa ajili ya taasisi za kielimu kama shule za msingi na sekondari katika kuboresha uendeshaji wa kila eneo linalohusu shughuli zote za kila siku shuleni mfano
Eneo la Taaluma
Eneo la Ada
Eneo la utawala
Mfumo huu sio tu unatunza taarifa bali unampa mtumiaji wake namna rahisi ya kuzipata na kuzituma taarifa hizo zikiwa zimeboreshwa kwa kuchakatwa na kufanyiwa upembuzi (analysis) ili kuweza kuleta maana na kueleweka kwa urahisi katika kuzitumia kwenye ufanyaji tathmini na kisha maamuzi.
KAZI ZINAZOFANYIKA NA MFUMO
Kazi kubwa na nyingi za mfumo huu wa academiazsoft zinawekwa katika makundi kadhaa kama ifuatvyo:
Kurekodi na kutunza taarifa
Kuchakata na kufanya upembuzi wa taarifa
Takwimu.
Kuandaa ripoti za aina tofauti tofauti kulingana na mahitaji
Mawasiliano baina ya shule na wateja (wazazi) -Bulk SMS service
school completion certificate
Kupitia mfumo wa AcademiazSoft, unaweza uka relax na wenyewe ukakufanyia kazi ya ku design certicates za wanafunzi wako wanaohitimu elimu ya msingi au sekondari hapo shuleni.
Hii ni katika kukupunguzia majukumu lakin pia kukupunguzia gharama za ku design vyeti ambapo huduma hii unaweza ukaipata moja moja ukiwa na mfumo bora wa AcademiazSoft katika kuendesha shughuli zako za kila siku shuleni.
Fuatilia malipo ya ada kwa mwanafunzi kulingana na mihula ya malipo iliyopangwa shuleni
Kulingana na mihula ya malipo ya karo/ ada ya shule iliyopangwa, mfumo wa AcademiazSoft unakurahisishia kugawaanya malipo hayo ya ada kuendana na installment husika mfano installment ya kwanza mwanafunzi anapaswa kulipa 40% ya ada n.k, mfumo unakurahisia ku keep track ya malipo hayo kujua kama yamefanyika kikamilifu au yamezidi kiwango au yako chini ya kiwango.
kama ikitokeo mwanafunzi kalipa chini ya kiwangi, mfumo uta forward deni kwenda katika installment inayofuata
Na kama ikitokea mwanafunzi amelipa zaid ya kiwango pangwa katika installment hiyo basi mfumo utakwenda kupunguza kiwango kinachotakiwa kulipwa katika installment inayofuatia, na hii inafanyika AUTOMATICALLY
RAHISISHA KAZI ZA USIMAMIZI, UKAGUZI NA UTENGENEZAJIWA WA TAARIFA ZA KIFEDHA KITAALAM
Hata kama una upungufu wa wataalam wa mahesabu shuleni kwako, bado kwa kupitia mfumo wa AacademiazSoft, una fursa ya kufanya mambo yako yaende kitaalam katika masuala mazima ya uandaaji wa taarifa za kifedha kuhusu biashara yako ya kutoa huduma hapo shuleni.
Mfumo huu wa AcademiazSoft, unakusaidia kiwepesi sana kuandaa taarifa muhimu za kifedha kama vile
ANDAA TAARIFA ZA KITAALUMA (REPORT CARDS) ZILIZO SMART PIA DETAILED kwa haraka pasipo kutumia nguvu.
Hii yote ni rahis sana unapokua unatumia mfumo wa Academiazsoft ambapo unaweza kuokoa muda kiasi ambacho mwalimu mmoja anaweza nadaa report za mwanafunzi wa darasa zima ndania ya nusu saa.
Taarifa hizi/ report card zinakua zenye taarifa nyingi ku analyse progress ya mtoto katika upana ili kutoa picha kwa mzazi yenye kueleweka kwa wepesi sana kwa kutumia Namba na pia Takwimu kitu ambacho ni ngumu sana kufanya endapo utaandaa taarifa hizi kwa utaratibu wa kawaida.
Kumbuka taarifa hii inakua generated automatically baada ya mwalimu ku upload matokeo ya mtoto.
PAKIA MATOKEO NA PAKUA REPORTS INSTANTLY KWA KUTUMIA MFUMO WA ACADEMIAZSOFT
Tazama namna iliyo rahis kuandaa taarifa za watoto wote darasani ndani ya muda mfupi kupitia academiazsoft