SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

REM GROUP

Member
Joined
Feb 21, 2022
Posts
94
Reaction score
23
Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.

Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.

Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 210,000 Kwa Mwaka Mzima.

PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0621454246 au 0711414246
images (2).png


NOTE: Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

Fashion & Clothing

Departmental Stores

Medical and Pharmacy

Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware

Salon & Spa

Home Appliances & Digital

Restaurants & many more

Retails and WholeSale n.k
 
me natumia excel kwenye biashara zangu zote na inanisaidia sana
Pia ndani ya mfumo wetu excel inapatikana na pia mfumo huu utakurahisishia zaidi katika uendeshaji na ufatiliaji wa biashara zako tofauti na excel unayotumia.Karibu
 
Wasiliana nasi sasa kupata punguzo na offer kabambe ya mwisho wa mwaka.
 
Hivi huu mfumo wenu hamuwezi kuuza kwa mara moja bila annual fees??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom