Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya TSh 210,000 Kwa Mwaka Mzima.
Pia ndani ya mfumo wetu excel inapatikana na pia mfumo huu utakurahisishia zaidi katika uendeshaji na ufatiliaji wa biashara zako tofauti na excel unayotumia.Karibu