Mkuu Developer habari za leo, nashukuru sana, hebu weka namba yako ya simu nikupigie nikueleweshe zaidi nnachohitaji.
Nenda BMTL wanauzaWandugu wooote salaam sana. Ninauliza kama kuna mtu mwenye software ya Hotel managment yenye uwezo wa kuprint service voucher/invoice/ cash in/out etc.???