Albert Wilson Albert
Senior Member
- Aug 22, 2018
- 191
- 226
Naomba kama kuna Mtaalam mwenye Software ya KING'AMUZI aina DVB T-T2 Receiver anisaidie
Kama kuna mtu Mwenye Software ya KING'AMUZI Aina ya DVB - T - T2 Receiver naomba tuwasiliane Inbox.
King'amuzi chenyewe ni hiki cha kwenye picha hapa Chini
Kinataka Ku - Update kinanipa taabu kimekuwa kikijizima mara kwa mara alafu kiko vizuri sana kwa Upande wa Channel
Msaada tafadhali