Software ya ku unlock Panasonic Strada CN-S300D

Software ya ku unlock Panasonic Strada CN-S300D

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
123
Reaction score
78
Wadau,

Nahitaji software au SD card yenye software ya kuweza ku unlock hii redio ya gari ya Panasonic Strada CN-S300D, kama ionekanavyo katika picha niliyoambatanisha.
Naomba kujuzwa jinsi navyoweza kuipata.

Natanguliza Shukrani ,
 
Attachments

  • IMG_20180806_182646_1.jpg
    IMG_20180806_182646_1.jpg
    68.2 KB · Views: 36
Ushauri inabidi uwe na SD card tafuta computer search firmware ya hio device online nadhani yawezekana ukahitajika kuinunua online ila ukiipata bure shukuru Mungu format hio SD card weka firmware ingiza humo umemaliza kazi
 
Asante sana , kwa ushauri , nitajitahidi ingawa nimeangalia haraka haraka sijaona sehemu ambayo naweza nikapata hizo files kirahisi.
 
Back
Top Bottom