M mzeemzima Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 123 Reaction score 78 Sep 12, 2019 #1 Wadau, Nahitaji software au SD card yenye software ya kuweza ku unlock hii redio ya gari ya Panasonic Strada CN-S300D, kama ionekanavyo katika picha niliyoambatanisha. Naomba kujuzwa jinsi navyoweza kuipata. Natanguliza Shukrani , Attachments IMG_20180806_182646_1.jpg 68.2 KB · Views: 36
Wadau, Nahitaji software au SD card yenye software ya kuweza ku unlock hii redio ya gari ya Panasonic Strada CN-S300D, kama ionekanavyo katika picha niliyoambatanisha. Naomba kujuzwa jinsi navyoweza kuipata. Natanguliza Shukrani ,
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,716 Reaction score 18,828 Sep 12, 2019 #2 Ushauri inabidi uwe na SD card tafuta computer search firmware ya hio device online nadhani yawezekana ukahitajika kuinunua online ila ukiipata bure shukuru Mungu format hio SD card weka firmware ingiza humo umemaliza kazi
Ushauri inabidi uwe na SD card tafuta computer search firmware ya hio device online nadhani yawezekana ukahitajika kuinunua online ila ukiipata bure shukuru Mungu format hio SD card weka firmware ingiza humo umemaliza kazi
M mzeemzima Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 123 Reaction score 78 Sep 14, 2019 Thread starter #3 Lyamber said: Ushauri inabidi uwe na SD card tafuta computer search firmware ya hio device online nadhani yawezekana ukahitajika kuinunua online ila ukiipata bure shukuru Mungu format hio SD card weka firmware ingiza humo umemaliza kazi Click to expand... Asante sana , kwa ushauri , nitajitahidi ingawa nimeangalia haraka haraka sijaona sehemu ambayo naweza nikapata hizo files kirahisi.
Lyamber said: Ushauri inabidi uwe na SD card tafuta computer search firmware ya hio device online nadhani yawezekana ukahitajika kuinunua online ila ukiipata bure shukuru Mungu format hio SD card weka firmware ingiza humo umemaliza kazi Click to expand... Asante sana , kwa ushauri , nitajitahidi ingawa nimeangalia haraka haraka sijaona sehemu ambayo naweza nikapata hizo files kirahisi.