gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Kuna watu wasumbufu hawachoki kupiga ,naiblock kwa muda tuSasa mkuu je ukitafutwa kwa jambo la dili na namba ambayo hauja save huoni utapoteza malengo makubwa
HAaha mkuu me sio mtu wa hivyo,siwezi nikatangaza dili then nisiwe nalonahis umetangaza dili nzur na ukaweka namba watu wanakupgia ili wapate hlo dil kumbe ww huna,,,..imewah kunitokea hyo,,,
okey pole! juxt jarbu call blocker hii inablock all new numbers, also kuna true caller hii unachagua namba ya kublock
Wenye namba yangu wanagawa,Njia pekee ni usigawe namba...
Sio sawa kublock namba ngeni... Utakosa opportunities na taarifa za maana.Wenye namba yangu wanagawa,
Its true kabisa,hata sijui nafanyajeSio sawa kublock namba ngeni... Utakosa opportunities na taarifa za maana.