Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu.
Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu
Naomba msaada wa kupata software inayofanya kazi ya kulock account ya mtu ya whatsapp ili asiweze kutumia na kuirudisha ktk hali yake ya mwanzo bila ya kuwa na simu hiyo karibu.
Toa maelezo yaliyonyooka, haya maelezo yako yana mkanganyiko ni ngumu mtu kukuelewa, unless kama unataka Whatsapp yako iwe inafunguliwa na passcode au finger print basi ingia settings ya Whatsapp then sehemu privacy kuna kipengele cha screen lock uta enable fingerprint unlock