Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Wandugu,
Naomba kujua software amabyo naweza kutumia ili kukopi movie kutoka katika DVD ambazo ziko protected, maana nimeiingiza nataka kuibanjua, basi naaambiwa haionekani DVD yako.
Nitashukuru kwa msaada wenu