Kwenye Dell nenda tu kwenye hiyo site click Download Now.
Hii software haina version ya Nokia(Symbian OS) lakini zipo software nyengine zinazofanya kazi hii kwa ajili ya Nokia, ingia kwenye Ovi store kisha search Phone track utapata options kadhaa nadhani.